Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ akiwa katika mapozi tofauti baada ya kuachia picha hizi kupitia account yake ya Instagram siku ya jana na kupelekea kutikisa katika mitandao ya kijamii huku wapenzi wake wakimuita Kim Kardashian wa bongo.
VIDEO Lulu Diva – Samahani Ft. Lava Lava MP4 DOWNLOAD
Tanzanian songstress Lulu Abbas, popularly known as Lulu Diva, has released a new jam with Uganda’s Eddy Kenzo and it’s getting a lot of love from their fans.
Lulu Diva has an amazing voice – the kind that most men, including myself, wouldn’t mind listening to all day even if it’s just a casual conversation. She also knows how to control it.
If you ask me, Lulu Diva and Eddy Kenzo really complement one another and they should do more songs together in the near future.
MWANAMUZIKI na video queen anayesumbua Bongo, Amber Lulu amefunguka kuwa, kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhani hawezi kuthubutu kupiga picha za nusu utupu kama alivyokuwa anafanya na kwamba huo ndiyo utakuwa mwisho wake wa kupiga picha hizo.
Akichonga na Showbiz, Amber amesema ameamua kufikia maamuzi hayo baada ya watu kumsema sana mitandaoni lakini pia ingawa siyo muumini wa Dini ya Kiislamu ila ameamua kutumia mwezi Mtukufu kusahihisha makosa yake. “Ni kweli mapicha ya nusu utupu yananiweka mjini, lakini niyaache kwanza kupisha mwezi mtukufu wa Ramadhani, nafikiri mbali na kuupisha mwezi nitaangalia namna ya kupiga picha zangu na kuniingizia kipato kuwakacha watu wasichonge sana,” alisema Ambar Lulu.
MSANII chipukizi anayefanya vizuri kwenye muziki nchini, Lulu Abasi ‘Lulu Diva’, amesema hakubahatisha kujitosa katika fani hiyo ila ana kipaji.
Lulu Diva ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa Usimuache, alisema hafanyi muziki kwa kuuza sura au kujionyesha kwa watu kuwa ilimradi anaimba, bali anajua anachokifanya na ana mipango ya kupiga hatua zaidi kimuziki.
“Lengo langu kubwa ni kufanya muziki wa kimataifa, naamini ninaweza kufanya hivyo kwa kuwa nina kipaji hicho, mashabiki wakae tayari kuendelea kupata kazi zangu mpya,” alisema Lulu Diva.
wewe na wewe mapicha ya nini kama watu wangekuona uko mrembo tangia kipindi kile usingehitaji kuweka mapicha zaidi, si ukubali tu hauko mrembo kivile